MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZIKO YA HAFIDH AMEIR HASSAN- MWENZA WA RAIS

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZIKO YA HAFIDH AMEIR HASSAN- MWENZA WA RAIS
View on original source
Category: Blend
Share
Archive
Like
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na Viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji, wakishuhudia mwili wa Marehemu Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ukiingizwa kaburini, wakati wa maziko yaliyofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, leo tarehe 07 Septemba 2026. wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Hafidh Ameir Hassan. wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.,

(0)Comments

 

A note on cookies

Newshunt uses essential cookies to keep you signed in and to remember your language and country, so the site works the way you expect. With your permission, we'd also like to use analytics cookies to understand how people use Newshunt and improve it over time.

Accepting only affects analytics. To learn more, view our Privacy Policy or Terms & Conditions.